Go Back   Sekenke Forums. > Ukumbi wa Sekenke > Mapishi

Reply
 
Thread Tools Search this Thread Display Modes
Old 02-07-2012, 01:20 AM   #1
Maryam
professional
 
Maryam's Avatar
 
Join Date: Feb 2007
Posts: 364
Default Bajia Za Kunde

Bajia Za KundeVIPIMO

Kunde za kupaaza 1 Vikombe

Vitungu vya kijani iliyokatwa katwa Kikombe


Baking soda Kijiko cha chai


*Bizari mchanganyiko 1 Kijiko cha chai


Maziwa 2 Vijiko vya supu


Chumvi 1 Vijiko vya chai


Unga wa ngano 2 Vijiko vya supu


Mafuta ya kukaangia

* Unaweza kutumia bizari ya pilau (cummin) ukipendaNAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA  • Osha na kuroweka kunde kwenye bakuli la maji ya baridi usiku mpaka asubuhi.
  • Saga kwenye mashine (food processor) kisha mimina kwenye bakuli.
  • Ongeza vitungu, baking soda, masala, maziwa, na chumvi.
  • Koroga vizuri halafu tia unga kisha uchanganye pamoja.
  • Fanya vidonge kama nchi moja kisha ukipenda bana katikati ya mikono na kidole katikati ya bajia.
  • Kaanga kwenye mafuta ya moto mpaka ziive.
  • Andaa bajia kwenye sahani na chatini uipendayo.
Source alhidaaya
Maryam is offline   Reply With Quote
Reply

Thread Tools Search this Thread
Search this Thread:

Advanced Search
Display Modes

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off

Forum Jump


All times are GMT +4. The time now is 05:27 AM.

Powered by vBulletin® Version 3.8.3
Copyright ©2000 - 2016, Jelsoft Enterprises Ltd. Mahmoud Al-Asmi